Share

Miale ya matumaini Baringo

Share this:

Shule nne katika kaunti ya Baringo zilizokuwa zimefungwa kwa muda wa miaka mitatu na kuwanyima watoto wa eneo hilo elimu kufuatia utovu wa usalama zimefunguliwa.
Shule za msingi za Kapindasum, Arabal, Nosukuro na  Mukutani, zilifungwa baada ya wezi wa mifugo kuvamia eneo hilo na kuiba mifugo na kuwauwa watu 11.

Leave a Comment