Share

Mhubiri Budalangi na wafuasi wake watoroka kukwepa huduma namba

Share this:

Wenyeji katika kijiji cha mubwayo eneo bunge la Budalangi wamepigwa na butwaa baada ya mhubiri kuuza mali yake na kugura kijiji kwa kile kinachosemekana kuwa ni kutoroka kuandikishwa kwa usajili wa huduma namba.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment