Share

Mgomo wa wafanyikazi waingia siku ya pili

Share this:

Wafanyakazi katika kaunti ya Kitui wamesitisha huduma katika kaunti hiyo wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao ya mwezi wa Julai .Hii ni huku kaunti sita zikiendeleza mgomo kwa siku ya pili sasa.

Leave a Comment