Share

Mgogoro wa viongozi wa kanisa la SDA

Share this:

Mgogoro wa viongozi wa kanisa la SDA bado unaendelea huku sasa ikiibuka kuwa kuna tetesi kuhusu matumizi ya pesa zinazokusanywa na kanisa hilo. Inadaiwa kuwa baadhi ya viongozi wamehusika katika wizi wa pesa zinazokusanywa kutoka kwenye shule na majumba yanayomilikiwa na kanisa hilo

Leave a Comment