Share

Mgogoro wa mgao wa fedha

Share this:

Mzozo kuhusu ugavi wa fedha kati ya serikali ya kitaifa na zile za kaunti unazidi kushika kasi, huku wadau pinzani wakishikilia misimamo yao mikali. Hata hivyo naibu wa rais william ruto anasema majadiliano yataendelea, ili kutafuta muafaka na kuondoa kesi iliyowasilishwa mahakamani na magavana pamoja na maseneta.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment