Share

Mgogoro wa mgao wa fedha za Kaunti

Share this:

Mzozo wa Mgao wa fedha zilizotengewa kaunti unazidi kutokota huku kamati maalum ikibuniwa kutafuta suluhu. Sasa watetezi wa Haki za Binadamu Haki Afrika wameongeza sauti yao kuhusu jinsi shughuli zimeathirika katika kaunti mbalimbali.

Leave a Comment