Share

Mg’aro mpya wa polisi

Share this:

Ni sura mpya na malengo mapya katika kikosi kipya cha polisi chenye majukumu ya kawaida kilichozinduliwa leo na rais Uhuru Kenyatta.

Sura hii mpya ikijumuisha sare mpya na muhimu zaidi ikiwa ni suala la nyumba wanamoishi kwani baada ya siku tisini hakuna polisi atakayeishi kambini bali wataishi kwenye nyumba za kupanga na wakenya wengine.

Leave a Comment