Share

Mfumo mpya wa trafiki

Share this:

Polisi wa trafiki  wataondolewa barabarani na badala yake maafisa wachache kuteuliwa kuhakikisha hakuna msongamano wa magari barabarani.
Inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai na naibu wake Edward Mbugua wanasema hatua hii itasaidia maafisa husika kuwahudumia wakenya katika sekta zingine.
Kama anavyotuarifu Lindah Koskey, mabadiliko haya ni pigo kubwa kwa maafisa wa trafiki waliogeuza magari ya uchukuzi wa umma kuwa kitega uchumi kwao.

Leave a Comment