Share

MERU FM YATAMBA: Redio imeadhimisha miaka 7 tangu kuzinduliwa

Share this:

Kituo cha redio cha Meru FM, kinachomilikiwa na kampuni ya Mediamax hii leo kimeadhimisha miaka saba ya utangazaji bora katika lugha ya Kimeru. Sherehe ya kuadhimisha miaka saba ilifanyika katika kanisa la Jesus Reigns eneo la Maua, Meru.

Leave a Comment