Share

Mchuuzi mcheshi zaidi : Jackson King’ori huchuuza kwenye matatu

Share this:

Ni mmoja wa wachuuzi wacheshi saana hapa jijini Nairobi.
Weledi wake wa kuwashawishi wanunuzi ukiwafanya wengi kununua kalamu anazouza hata pasipo na haja.
Mwanahabari wetu Frankline Macharia  alisema na mchuuzi Jackson Kingori na kutuandalia taarifa hii.

Leave a Comment