Share

Mchuano wa soka wapeperushwa kwa mara ya kwanza Somalia

Share this:

Somalia hatimaye ilikuwa na mchuano wa soka uliopeperushwa kwa mara ya kwanza tangu soka ikite mizizi nchini humo. Ni nchi iliokumbwa na ghasia na utovu wa usalama, jambo liliochangia pakubwa kwa nchi hiyo kufanya vibaya katika ulimwengu wa soka. Lakini sasa imeanza kujikwamua kutoka kwa kitanzi iliyojitia kupitia kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe zaidi ya miaka 20 iliopita.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Leave a Comment