Share

Mchecheto wa ripoti ya BBI

Share this:

Ripoti ya BBI ilikwenda kinyume na lengo lake kuu la kutafuta suluhu kwa changamoto ambazo hushuhudiwa nchini kila baada ya uchaguzi.

Hayo si matamshi yangu bali ni ya kinara wa ANC Musalia Mudavadi anyehisi kwamba ripoti hiyo imelenga kuwanufaisha wenye ushawishi mkubwa nchini.
Mudavadi badala yake amewaomba wakenya kuzingatia haja ya mazungumzo ya maridhiano baada ya kuisoma ripoti hiyo.

Leave a Comment