Share

Mchakato wa kutengeneza bajeti ya taifa

Share this:

Huku Kenya ikijiandaa kusubiri kusomwa kwa bajeti ya kitaifa siku ya alhamisi, kuna mipangilio mingi ambayo huendelea kuhakikisha kuwa maandalizi yake yanakamilika. Mbali na waziri wa fedha kuhusika pakubwa, kuna watu wanaosimamia jukumu la kupanga, kukagua na hata kurekebisha hesabu ili kuhakikisha bajeti hiyo imeafikiwa. Makori Ongechi anaangazia taarifa ya ni vipi bajeti ya nchi huafikiwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment