Share

MCA wa eneo la Churo, Tiaty aliyetoweka bado hajulikani aliko

Share this:

Spika wa bunge la kaunti ya Baringo William Kamket leo ameandikisha taarifa na idara ya upelelezi wa jinai katika kaunti ya Baringo kuhusu madai kwamba amekuwa akiwapa maharamia kutoka jamii moja bunduki ili kutekeleza visa vya wizi wa mifugo dhidi ya jamii nyingine.spika huyo sasa anadai kuwa maisha yake yamo hatarini.
Haya yanajiri huku mwakilishi wa wadi ya Churo amaya Thomas Minito aliyetoweka mnamo jumatano akiwa bado hajapatikana huku jamii yake na wafuasi wake wakizidi kukumbwa na wasiwasi.

Leave a Comment