Share

Mbiu ya KTN: Walimu wakuu wa shule za upili Homabay wasema maisha yao yamo hatarini

Share this:

Walimu wakuu wa shule za upili kutoka kaunti za Migori na Homabay, wamedai kwamba maisha yao yamo hatarini, baada ya kupokea arafa za simu zenye jumbe za vitisho. Walimu hao wanadai kupokea vitisho kutoka kwa watu wanaodai kuwa wafanyikazi wa mashirika ya kijamii na wanahabari, ambao miongoni mwa amri zingine, wanawataka wawape fedha, la sivyo watoboe siri kuhusu malipo ya ziada wanayowaitisha wazazi wanapolipa karo.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/KTNkenya

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment