Share

Mbiu ya KTN: Nelson Marwa asema hatua ya kuwapokonya magavana walinzi haina jambo fiche

Share this:

Mratibu wa usalama katika ukanda wa Pwani Nelson Marwa amesema kwamba siasa hazipaswi kuingizwa kwenye mipango ya serikali kufanya mabadiliko kuhusiana na hali ya usalama katika eneo hilo. Marwa amewakosoa wale wanaodai kwamba kuondolewa kwa walinzi wa magavana Hassan Joho na Amason Kingi kunawalenga magavana hao pekee. Amesema kwamba mchakato huo unawahusu magavana wote na kwamba hakuna jambo fiche kama inavyodaiwa.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/KTNkenya

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment