Share

Mbiu ya KTN: Mtoto aliyetekwa nyara Thika apatikana

Share this:

Ilikuwa raha isiyo kifani kwa familia ya mtoto wa umri wa miak 4 Kelson Kimani aliyepatikana usiku wa jana baada ya kutekwa nyara na watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki nyumbani kwao huko Thika ijumaa iliyopita. Kelson alinusuriwa mikoni mwa washukiwa 3 wa uhalifu huo walipokuwa wakimtorosha kutoka Ruaka kuelekea Thika. Kelson alitekwa nyara siku nne zilizopita mbele ya mamake na wahalifu hao wanaoripotiwa kuitisha fedha kutoka kwa familia hiyo hadi kupatikana kwake. Maafisa wa usalma wa flying squad ndio walioendesha oparehsni hiyo huku kamanda wa polisi wa kaunti ya Kiambu Adiel Njagi akisema kwamba kikosi cha watekaji nyara hao kimesheheni wanawake wengi zaidi kuliko wanaume.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/KTNkenya

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment