Share

Mbinu mpya ya kutahiri

Share this:

Kulingana na idara ya afya ya kukabili ugonjwa wa ukimwi duniani ,idadi ya walioathirika na virusi vya Ukimwi katika eneo la magharibi mwa nchi inadaiwa kuongezeka.
Ni jambo ambalo limeishawishi wizara ya afya na shirika lisilo la kiserikali ambalo limekuwa likiwahimiza wanaume kutahiriwa kuzindua kifaa maalum cha kutahiri ambacho mhusika hahisi uchungu wowote kwani hakuna kifaa chenye makali kinachotumika.

Leave a Comment