Share

Mazungumzo kuhusu mtaala mpya

Share this:

Mazungumzo yameanza kutafuta suluhu ya changamoto ambazo zimeonekana kutatiza utekelezaji wa mtaala mpya humu nchini.
Washikadau wa elimu wakiwemo,walimu,wazazi,maafisa wa elimu pamoja na viongozi wa kijamii wamekutana katika kaunti 8 nchini hii leo.
Hayo yanajiri huku muungano wa walimu KNUT ukisisitiza kwamba hautahusika mazungumzo hayo.

Leave a Comment