Share

Mazingira magumu ya kazi katika kichinjio cha Makoror, Wajir

Share this:

Wachinjaji wanaohudumu katika kichinjio ya Mkatika kaunti ya Wajir wanapitia masaibu chungu nzima ikiwemo hali mbovu ya mazingira, uhaba wa chumba cha kuchinjia na pia ukosefu wa nguvu za umeme. Kwa miezi sita sasa wamelazimika kuhudumu nje huku wakistahimili mvua na upepo mkali wakati wanaendeleza shughuli zao. Hali mbaya ya mazingira katika sehemu hiyo inatishia afya ya wakaazi haswa wakati huu ambapo kuna mkurupuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika kaunti hiyo. Abdikafar Hussein anaarifu Zaidi

Leave a Comment