Share

Mazingaombwe ya Migori: Kinyesi huwa kimetapakazwa shuleni

Share this:

Taharuki imetanda katika shule ya msingi ya Rayudhi huko Migori huku wanafunzi mara kwa mara wakilazimika kusafisha madarasa yao kila uchao baada ya watu wasiojulikana, kumalizia haja zao madarasani. 
Aidha ni tabia ambayo imekuwa mazoea, kutoka darasa moja hadi lingine ambayo yamefungwa huku uchunguzi ukianza kwa lengo la mhusika kujulikana.

Leave a Comment