Share

Mauaji ya Willy Kimani : Wakili Ombeta akosa kufika mahamakani

Share this:

Peter Ngugi, mshukiwa wa tano katika kesi ya mauaji ya kinyama ya wakili  Willie Kimani, amemsimamisha kazi wakili wakili wake katika kesi hiyo akidai wakili huyo hajakuwa akimuwakilisha ipasavyo.
Ngugi ambaye alitarajiwa kukiri jinsi walivyotekeleza mauaji ya wakili huyo,mteja wake Josephat Mwenda na dereva wa texi Joseph Muiruri aliishangaza korti akitaka kupewa wakili mwingine baada ya kudai kwamba wakili Nelius Kinyori ambaye amekuwa akimwakilisha kwa miaka mitatu sasa hajakuwa akiwajibika.

Leave a Comment