Share

Mauaji ya Syombua na wanawe yachunguzwa

Share this:

Makachero wa kitengo cha uhalifu katika makao makuu ya DCI leo wamekuwa mjini Nanyuki na kuzuru eneo palipopatikana maiti ya mama na wanawe wawili. Aidha, zoezi la upasuaji wa maiti linatarajiwa kufanyika hapo kesho mjini humo huku familia ya Joyce Syombua ikililia usalama wao.

Leave a Comment