Share

Mauaji ya Sharon : Mama aangua kilio, atolewa kortni

Share this:

Jaji wa mahakama kuu Jessie Lesit amedinda kujiondoa kwenye kesi inayomkabili gavana wa migori okoth obadoâ  ya mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo Sharon Otieno na kijusi chake mwaka jana.
Lessit akitoa uamuzi wake, ametaja kuwa  msaidizi wa Obado , Micheal Oyamo, na Pascal Obiero hawakutoa sababu thabiti na za kutosha za kutokuwa na imani naye .

Leave a Comment