Share

Mauaji ya Monica Kimani: Matokeo ya sampuli 73 za DNA yatolewa

Share this:

Afisa katika maabara ya serikali Joseph Kimani leo ametoa ushahidi wa  sampuli 73  za DNA katika  mauaji tatanishi ya mfanyibiashara Monica Kimani ambapo mwanahabari Jacque Maribe na mshukiwa mkuu Joseph Irungu almarifu Jowie, wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji .

Afisa huyo akiambia mahakama kuwa suruali  iliyopatikana ya Jowi ilikuwa na sampuli ambayo inafanana na damu ya mwendazake Monica Kimani .

Leave a Comment