Share

Mauaji tatanishi Machakos

Share this:

Polisi  katika eneo  la Yatta kaunti ya Machakos wanawazuia washukiwa watatu katika mauaji ya muguzi wa hospitali ya kisiiki  .
Kulingana na maafisa wa upelelezi wa jinai kaunti ya Machakos, washukiwa hao watatu walikiri  walimuuga muuguzi huyo kwa jina  Paul Kyoko na kuutupa  mwili wake katika mto wa Athi.
Kama anavyotueleza Lenox Sengre  japo shughuli ya kutafuta mwili wake kungoa nanga , matumaini yake kuupatani nadra kwa sababu ya mvua inayoendelea kunyesha.

Leave a Comment