Share

Maua aomboleza kuwapoteza binti na wajukuu katika hali inayotatanisha

Share this:

Elizabeth Maua anaendelea kutafakari jinsi alivyompoteza binti yake, na wajukuu wawili katika hali inayotatanisha. Baada ya watoto wake kutoweka mwezi wa Oktoba, hapo jana, miili yao ilipatikana ikiwa imezikwa katika eneo la makaburini Thingithu, kaunti ya Laikipia.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment