Share

Matinga ya kaunti yaendeleza ubomoaji katika eneo la Pangani

Share this:

Tunaanza na taarifa za ubomoaji ambapo wakaazi waliokuwa wakiishi kwenye nyumba za serikali ya kaunti ya Nairobi katika eneo la Pangani sasa wamelazimika kuhama kwa lazima baada ya nyumba zao kubomolewa. Wakaazi hao walikesha kwenye kibaridi usiku kucha huku wakilazimika kuafiki agizo la kaunti kubomoa nyumba hizo kwa ujenzi wa nyumba za kisasa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment