Share

Matayarisho ya Sensa : Mikakati yote tayari imekamilika

Share this:

Kamati ya mawaziri inayoshughulikia shughuli ya kuhesabu watu sasa imewahakikisha wakenya kwamba mipango ya tayarisho ya shughuli hiyo imekamilika.

Watatu hao dakta Fred Matiangi, Ukur Yattani na Joe Mucheru sasa wanawasihi wakenya kujitokeza kwa wingi na kushirikiana kikamilifu na maafisa wa kuhesabu watu hiyo usiku wa ijumaa na Jumamosi.

Aidha wameelezea matumaini makubwa ya kupata habari kamilifu kusaidia katika mipango ya kitaifa.

Leave a Comment