Share

Matatu 50 zakamatwa na polisi Kakamega

Share this:

Wahudumu wa magari wanaokiuka sheria kwenye eneo la Ilesi katika barabara ya Kakamega Kisumu wamejipata pabaya pale polisi walipofanya msako. Zaidi ya magari 50 yalinaswa kwenye zoezi hilo. Wahudumu waliokamatwa walifikishwa katika mahakama ya muda iliowekwa barabarani ili kuwatoza faini.Mahakama ya papo hapo inakisiwa kupunguza msongamano wa kesi za trafiki mahakamani. Mkuu wa polisi Hillary Mutyambai alitoa agizo la msako ili kupunguza ajali za barabarani

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment