Share

Masaibu ya Sengwer: Walowezi waapa kusalia msituni

Share this:

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya walowezi wanaoishi msituni, jamii ya Sengwer kutoka kaunti ya Elgeiyo Marakwet imeandaa warsha ya kipekee na simulizi za jinsi maisha yao yalivyobadilika baada ya serikali kuwafurusha kutoka kwenye msitu wa Embobut kaunti ya Elgeiyo Market.
Mwanahabari wetu Duncan Wanga aliwatembelea msituni Embobut walikofurushwa takriban miaka saba iliyopita.

Leave a Comment