Share

Mapokeo ya sensa katika kaunti ya Kakamega

Share this:

Huku taifa la Kenya likijiandaa kushiriki zoezi la kuwahesabu watu kwa mara ya tisa tangu mwaka 1948, Imebainika kuwa asilimia kubwa ya watu hawafahamu umuhimu wala mana ya sensa katika kaunti ya Kakamega. Wanasiasa nao kwa upande wao wameendelea kuwarai wenyeji kurejea nyumbani na kuhesabiwa kwa hofu ya kuunganishwa kwa maeneo bunge yao na IEBC iwapo yatakuwa na idadi ndogo ya watu baada ya sensa.

Leave a Comment