Share

Mapochopocho ya Atieke kutoka Afrika kusini

Share this:

Wiki hii kwenye makala ya lishe mitaani ikiwa ni makala yetu ya kwanza awamu ya tatu tunaangazia chakula aina ya ‘attieke’ kinachoenziwa huko nchini Ivory Coast na kiambatanisho cha mboga za kienyeji.Je inahusisha nini? Na inaandaliwa vipi? Haya huu hapa uhondo kamili.

Leave a Comment