Share

Maombolezo Solai:Mbiu ya Ktn full bulletin 2018/05/16

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta, naibu wa rais Wiliam Ruto pamoja na wake zao walijumuika na waomboleazji wengine huko nakuru kufanya ibada ya kuwakumbuka wakenya zaidi ya arobaini walioaga dunia alhamisi iliyopita baada ya bwawa la Patel, Solai huko Subukia kuvunja kingo zake na maji kufurika. Rais Kenyyatta amesikitishwa na maafa hayo yaliyohusisha wadtoto wadogo zaidi ya ishiri na akawaomba walioathiriw akuwa na subira wakati serikali inayashughulikia maslahi yao. Ibada hiyo ilikamilika muda mfupi kabla ya alasiri ya leo

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment