Share

Maofisa 6 wa baraza la chuo cha Maasai Mara wahojiwa na DCI

Share this:

Maafisa sita wa baraza kuu la chuo kikuu cha Maasai Mara leo wamefika mbele ya maafisa wa uchunguzi wanaopeleleza kutoweka kwa zaidi ya shilingi milioni 190 chuoni humo. Maafisa hao wanadaiwa kukabiliwa na wakati mgumu kueleza ni vipi fedha zilifujwa chuoni humo bila wao kuingilia kati. Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, dereva wa naibu Chansela Mary Walingo, Noor Haji pia amehojiwa.

Leave a Comment