Share

Mameneja wakuu wa KPC wanyemelewa kwa kufuja mabilioni

Share this:

Mabadiliko makuu yananukia kwenye sekta ya kawi nchini hasa baada ya vitengo kadhaa kwenye sekta hiyo kusemekana kukumbwa na zimwi na uozo wa ufisadi ambao umechangia kupotea kwa mabilioni ya pesa.
Tume ya ufisadi EACC na kitengo cha kukabiliana na uhalifu wa jinai, DCI sasa vinatarajiwa kufanikisha juhudi za kukamatwa kwa baadhi ya mameneja wakuu wa kampuni ya kenya pipeline kutokana na ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Leave a Comment