Share

Mama na mwanawe waliofariki baharini Likoni wazikwa

Share this:

Hatimaye waathiriwa wa mkasa wa feri, mariam kighenda na mwanawe Amanda mutheu wamezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha salama kaunti ya makueni.

Leave a Comment