Share

Mama ajifungua kwenye kituo cha mabasi

Share this:

Hali ya wasiwasi ilitanda katika kituo cha mabasi cha Machakos pale msichana wa umri wa miaka 22 kwa jina Jane Kwamboka alipojifungua mtoto kighafla.
Kwamboka alikuwa ajifungue wiki ijayo ila kabla ya kuabiri gari kuelekea nyumbani eneo la Kisii ,lisilotarajiwa likabisha hodi.

Leave a Comment