Share

Mama adai ananyang’anywa ardhi mumewe akiwa spitalini

Share this:

Mama wa watoto watatu katika kaunti ya Kisii analilia haki baada ya mumewe kupokonywa kipande cha ardhi wanachotegemea.Rachel Nyaboke Achuka, kutoka kijiji cha Getare anadai kuwa mumewe ni akili punguani na watu hao walichukua fursa hiyo kuwapokonya ardhi yao.

Leave a Comment