Share

Malumbano ya waheshimiwa: Afisi ya karani wa bunge la Nairobi kuvunjwa

Share this:

Wawakilishi wadi kaunti la Nairobi hii leo wamefoka vikali baada ya afisi za karani wa bunge la Nairobi Jacob Ngwele kuvunjwa huku vipakatalishi viwili  na hati muhimu zikitoweka .
Maafisa hao wa wadi wamelalamikia tukio hilo wakisema ni njama ya kuficha taarifa muhimu ambazo zingefichua ufisadi kwenye bunge hilo.
Haya yamejiri  huku taarifa  zikiibuka kuwa meneja wa uajiri kwenye  bunge hilo Nancy Mutai ametiwa nguvuni kutokana na tukio hilo.

Leave a Comment