Share

Malkia Strikers waanza maandalizi ya mashindano ya dunia, Kasarani

Share this:

Timu ya wanawake ya voliboli itapeperusha bendera ya Kenya katika mashindano ya dunia huko Japan mwezi ujao. Timu inafanya mazoezi chini ya mkufunzi Japheth Munala uwanjani Kasarani.
Timu ilipata udhamini wa shilingi milioni 42 kutoka kwa shirika la National Oil. Malkia Strikers iko kundi D pamoja na Brazil,
Jamhuri ya Dominika, Kazakhstan,Puerto Rico na Serbia.

Leave a Comment