Share

Makurutu wa jeshi wafuzu

Share this:

Vita dhidi ya mafunzo ya itikadi kali na ugaidi vimefaulu pakubwa kutokana na kujitolea kwa vikosi vya ulinzi humu nchini.
Haya ni kwa mujibu wa rais Uhuru Kenyatta  aliyeongoza hafla ya  kufuzu kwa makurutu wa jeshi katika kambi ya mafunzo  mjini Eldoret.
Rais amevilimbikizia sifa vikosi hivyo kwa mshikamano na juhudi zao za kulinda nchi. mwanahabari wetu timothy simwa  alihudhura mahafali hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Leave a Comment