Share

Makundi ya wakulima, wafugaji na wavuvi yapigwa jeki

Share this:

Takriban vikundi 57 vya wakulima,wafugaji na wavuvi  katika wadi sita ambazo ni Hindi,Mkunumbi ,Bahari ,Faza ,Kiunga ,pamoja na Witu kaunti ya Lamu wamepokea hundi ya shillingi million 45 za kuboresha mbinu mpya za uzalishaji ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Fedha hizo ambazo zimetolewa na benki ya dunia zinafadhili mradi unaojulikana kama Kenya Climate Smart Agriculture  kupitia Idara ya Kilimo kaunti ya Lamu .

Leave a Comment