Share

Makundi 58 ya wakulima kutoka Taita Taveta yapewa ksh. 33 kupiga jeki kilimo

Share this:

Makundi 58 ya wakulima kutoka Taita Taveta yamefaidika na Milioni 33 kupitia mradi wa kilimo ambao umepangiwa kufaidi zaidi ya kaya 21,729 kwa kipindi cha miaka 5.

Leave a Comment