Share

MAKOVU YA SOLAI : Waathiriwa wa mkasa wa bwawa la Patel wasubiri haki miezi 6 sasa

Share this:

Waathiriwa wa mkasa wa bwawa la Solai ,kaunti ya Nakuru wameitaka serikali kutekeleza ahadi yake ya kuwapa makao mbadala kwani bado wanasubiri haki.
Haya yanajiri katika ibada iliyoandaliwa  kuwakumbuka walionangamia kwenye mkasa huo, hii ikiwa ni mwezi wa sita tangu mkasa huo kutokea.

Leave a Comment