Share

Makachero wachunguza vifaa vya nyumba ya Sajini Kipyegon Kenei

Share this:

Uchunguzi wa kifo cha kutatanisha cha Sajini John Kipyegon Kenei umeingia siku ya tatu hii leo huku maafisa wa upelelezi wakitarajiwa kuwahoji mashahidi siku ya Jumatatu. Haya yanajiri huku mabawabu wakisema kuwa walimwona mwisho afisa huyo siku ya Jumatatu akiwa hai.

Leave a Comment