Share

Majukumu ya kaunti ya Nairobi yatwaliwa na serikali kuu

Share this:

Majukumu ya serikali ya kaunti ya Nairobi sasa yamechukuliwa na serikali kuu. Katika makubaliano yaliyoshuhudiwa na Rais Uhuru Kenyatta na spika wa seneti Ken Lusaka, gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na Rais Uhuru Kenyatta walitia saini makubaliano hayo kulingana na kipengee 187 cha katiba.

Leave a Comment