Share

Majibizano ya BBI Murang’a

Share this:

Kinara wa ODM Raila Odinga sasa amesistiza kwamba hamna mtu anayeeneza siasa za chuki kupitia misururu ya mikutano ya BBI kote nchini.
Odinga anawataka wanaopinga mikutano hiyo kufahamu kwamba shughuli nzima ya marekebisho ya kikatiba inayoongozwa kupitia mchakato wa BBI inalenga kukuza maendeleo muhimu na kuboresha taifa.
Aidha viongozi kadha wa kadha wameelezea hisia zao kuambatana na rumba la BBI.
Wameyasema hayo wakati wa mazishi ya babake seneta wa Murang’a Irungu Kang’ata .

Leave a Comment