Share

Majaribio ya chanjo ya HIV yagonga mwamba

Share this:

Shirika la afya duniani kwa sasa imepata pigo kubwa baada ya chanjo iliyonuiwa kupunguza usambazaji wa virusi vya HIV kugonga mwamba. Eneo la Siaya ni moja kati ya naeneo yaliyo na idadi kubwa ya wanaoambukizwa HIV

Leave a Comment