Share

Maiti ya wafu wa maporomoko ya Pokot wapelekwa katika mafuoni ya Kitale na Eldoret

Share this:

Tuelekee Kitale katika hifadhi ya maiti katika hospitali ya rufaa mjini humo ambapo miili zaidi ya waathiriwa wa mafuriko kutoka Pokot Magharibi imepelekwa. Hii ni baada ya hifadhi ya maiti katika Kaunti ya pokot magharibi kujaa.

Leave a Comment